Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, June 14, 2013

VANESSA MDEE NA JIM IYKE KUHOST TUZO ZA AFDA 2013, JUNE 29 JIJINI DAR ES SALAAM

Mtangazaji wa radio na TV (Choice FM na MTV Base) na muimbaji, Vanessa Mdee pamoja na muigizaji maarufu wa filamu nchini Nigeria, James Ikechukwu aka Jim Iyke watakuwa washereheshaji wa tuzo za AFDA (African Film Development Awards, 2013.
page
Tuzo hizo zitatolewa Jumamosi ya June 29 kwenye hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam ambapo kutakuwepo na tuzo 30 ikiwemo moja ya filamu za Kiswahili kama heshima ya Tanzania mwenyeji wa tuzo hizo mwaka huu.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages