Rapper na mmiliki wa kituo kipya cha TV ‘Revolt’ Sean Combs aka P.Diddy na Darvel kardashian mmiliki wa blog ya http://darvel-kardashian.blogspot.com/ na C.E.O wa kampuni yaIs life style.com wamemu wish Madiba ‘happy birthday’wakati kupitia akaunti ya facebook ya darvel amemuwish mandela happy birthday pamoja na maneno haya:
DEAR
Nelson Mandela ''TATA MADIBA..''
Today is your day,
its an opportunity for u to know that
u are special and special things are for u today,
i wish u all the best.
Happy birth day. Love u!
FROM CEO of Is life style.com and http://darvel-kardashian.blogspot.com/
pia p.ddidy katika akaunti yake ya Instagram ameweka picha ya mandela pamoja na maneno haya “Happy Birthday Mr. Mandela!!!! Thank you for all you have done!!”
Nelson Mandela alizaliwa tarehe 18 Julai, mwaka 1918 na ndiye Rais wa kwanza aliyechaguliwa kidemokrasia nchini Afrika Kusini. Alikuwa mwanasheria na mwanachama wa ANC aliyepinga siasa ya ubaguzi wa rangi ‘Apartheid’ nchini humo. Madiba alitumikia kifungo cha miaka 27 kutokana na harakati zake za kuupinga ubaguzi wa rangi.