Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, July 21, 2013

PICHA: INTERVIEW YA SHILOLE NA TAKE ONE....



Hii ni nyuma ya pazia ya Msanii Shilole akihojiwa kwenye Take
One ya Clouds tv na zamaradi Mketema...
interview hiyo ambayo yakipekee kabisa haikufanyiwa Studio
kabisa bali ilifanyika


nyumbani kwa Msanii Diamond ambapo mwanadada Shilole alikuwepo pia
kama mgeni mualikwa kuja kufturu.....


Shilole ameweza kufunguka mengi juu ya mustakbali
wake na kazi ya muziki...,
Faida za muziki na safari nzima yake nchini Marekani
na kipi alichofaidika nacho....
Unataka kujua Shilole anatarajia kufanya Collabo na Msanii
gani wa Kike nchini Marekani....?
Je unajua nini asa kimemkera Shilole ndani ya mwezi huu
pindi yupo nchini Marekani..?
Basii hii si ya kukosa kabisa,TAKE ONE ya Clouds Tv
 ndio habari ya mjini wikii ijayo
jumanne saa 9:30 usiku Usikose.....!!



MAKE UP Ndio yenyewe kabla ya Interview....
Rommy Jones & Shilole....

Hii si yakukosa kabisa dani ya Take One......
Ommy Dimpoz,Shilole &DIAMOND



Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages