Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 2, 2013

PICHA: WANANCHI WALIVYOMPOKEA OBAMA UBUNGO

Mamia kwa maelfu ya wakazi wa Dar es Salaam, leo walikuwa wamekusanyika kwenye barabara inayoelekea kwenye kituo cha mabasi ya Ubungo kuushuhudia msafara wa Rais wa Marekani Barack Obama aliyekuwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete uliokuwa ukielekea kwenye makao makuu ya shirika la ugavi wa umeme Tanzania, Tanesco, ambako amezindua mradi mkubwa wa umeme.
Askari wa barabarani akilionyesha njia gari lililowabeba marais
Askari wa barabarani akilionyesha njia gari lililowabeba marais
Askari wa ulinzi akiwa makini kuhakikisha usalama
Askari wa ulinzi akiwa makini kuhakikisha usalama
Gari lililowabeba Rais Obama na mwenyeji wake Rais Kikwete
Gari lililowabeba Rais Obama na mwenyeji wake Rais Kikwete
Kijana akiupiga picha msafara wa Obama
Kijana akiupiga picha msafara wa Obama
Kumbukumbu
Kumbukumbu
Magari yaliyokuwa yakiongozana na Obama
Magari yaliyokuwa yakiongozana na Obama
Msafara wa Rais Obama ukiingia Tanesco Ubungo
Msafara wa Rais Obama ukiingia Tanesco Ubungo

Msichana wa kizungu akisubri kwa hamu msafara wa Obama
Msichana wa kizungu akisubri kwa hamu msafara wa Obama
Mtangazaji wa E News
Mtangazaji wa E News
Mtangazaji wa kituo cha E News cha nchini Afrika Kusini akihoji wananchi
Mtangazaji wa kituo cha E News cha nchini Afrika Kusini akihoji wananchi
Mtoto akiwa pembeni ya barabara kushuhudia msafara wa Obama
Mtoto akiwa pembeni ya barabara kushuhudia msafara wa Obama
Polisi akiwa juu ya farasi (2)
Polisi akiwa juu ya farasi
Polisi akiwa juu ya farasi
Polisi akiwa juu ya farasi
Polisi wakihakikisha usalama
Polisi wakihakikisha usalama
Wakazi wa Dar es Salaam wakisubiri kuuona msafara wa Obama
Wakazi wa Dar es Salaam wakisubiri kuuona msafara wa Obama

Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa kwenye stand ya ubungo
Wakazi wa Dar es Salaam wakiwa kwenye stand ya Ubungo
Walinzi wa Kimarekani wakihakikisha usalama wakati gari la Obama na Kikwete likiondoka
Walinzi wa Kimarekani wakihakikisha usalama wakati gari la Obama na Kikwete likiondoka
Wananchi wakiendelea na mizunguko baada ya Obama kuondoka
Wananchi wakiendelea na mizunguko baada ya Obama kuondoka
Wananchi wakitembea kwenye service road
Wananchi wakitembea kwenye service road
Wananchi wakiwa wamepanda kwenye miti kuona vizuri
Wananchi wakiwa wamepanda kwenye miti kuona vizuri
Watoto wa chekechea wakiwa barabarani kumshuhudia Obama
Watoto wa chekechea wakiwa barabarani kumshuhudia Obama
IMG_6455 (600x400)
IMG_6455
IMG_6457 (600x400)
IMG_6458 (600x400)
IMG_6459 (600x400)
IMG_6460 (600x400)
IMG_6461 (600x400)
IMG_6462 (600x400)
IMG_6464 (600x400)
IMG_6465 (600x400)
IMG_6466 (600x400)
IMG_6467 (600x400)
IMG_6468 (600x400)
IMG_6469 (600x400)
IMG_6470 (600x400)
IMG_6471 (600x400)
IMG_6474 (600x400)
IMG_6477 (600x400)
IMG_6481 (600x400)
IMG_6486 (600x400)
IMG_6488 (600x400)
IMG_6498 (600x400)
IMG_6504 (600x400)
IMG_6505 (600x400)
IMG_6507 (600x400)
IMG_6515 (600x400)
IMG_6516 (600x400)
IMG_6517 (600x400)
IMG_6518 (600x400)
IMG_6519 (600x400)
Boda boda zikianza kazi baada ya kuruhusiwa
Boda boda zikianza kazi baada ya kuruhusiwa

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages