Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, July 2, 2013

QUUEN LATIFA ANAKUJA NA KIPINDI CHA TV ''QUEEN LATIFA SHOW'' ANGALIA TEASER YA KIPINDI HIKO.

Rapper, mwigizaji na mwimbaji wa kike wa siku nyingi Dana Elaine Owens a.k.a Queen Latifah wa Marekani ametoa teaser ya kipindi chake kipya cha TV “The Queen Latifah Show” kinachotegemewa kuanza kuwa hewani baadaye Mwaka huu.
queen-latifah
Latifah alianza kujihusisha na uigizaji wa filamu mwaka (1991) kama msaidizi katika filamu za House Party 2, Juice na Jungle Fever na pia aliwahi kushiriki katika kipindi cha ucheshi ‘Living Single’ (1993).
Jada Pinkett Smith ndiye Executive producer wa “The Queen Latifah Show” inayotegemewa kuanza kuonekana (September 16) mwaka huu.
Tazama teaser ya kipindi hicho

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages