Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, July 1, 2013

VIDEO: RAIS OBAMA AKIWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MWL.JK.NYERERE DAR

Rais wa Marekani Barack Obama mchana wa leo amewasili nchini tayari kwa ziara yake ya leo na kesho jijini Dar es Salaam. Rais huyo aliyeongozana na mkewe Michelle na wanae wa kike wawili Malia na Sasha amepokelewa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Baada ya kuwasili uwanjani hapo, Rais Obama amekagua gwaride maalum aliloandaliwa na kuongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange. Pia Rais huyo ameshuhudua burudani kutoka kwa vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kabla ya msafara wake kueleke Ikulu ambako marais hao watakuwa na maongezi.
VIDEO:

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages