Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, July 6, 2013

VIDEO: WEMA ANAKUJA NA TV REALITY SHOW ITAKAYOITWA ''IN MY SHOES''

Wema Sepetu amepiga hatua kubwa na sasa mashabiki wake watarajie kitu kizuri kutoka kwake.
Wema anakuja na 'Reality Show' yake ambayo itaanza kuoneshwa hivi karibuni katika kituo cha TV ya Tanzania (Clouds TV).
Wema ameipa jina show hiyo na itajulikana kama 'In My Shoes'.
U wanna know what is in shoes? Angalia Teaser ya show hiyo hapo chini:-

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages