Kama unakumbuka The boss lady Huddah Manroe alipokuja Tanzania mara baada ya Kutoka katika Big Brother Africa ‘The Chase’ miezi miwili iliyopita, katika interview aliyofanyiwa na Bongo5 alimtaja Diamond kuwa ndio msanii wa Bongo anaye mfeel.
Daddy Owen, Huddah Manroe & Diamond Platnumz
Well, kwa wakati huo alikuwa bado hajakutana na Platnumz but finally Huddah na Diamond wamekutana Nairobi katika studio ya Ogopa, hivi Huddah anaimba eeh?? I am not sure! Ila picha aliyotweet Huddah jana inaonesha tayari wamekutana. Huyo wa kushoto katika picha ni msanii wa Kenya Daddy Owen.
“Diamond is very hard working guy, his sexy appeal, he is good looking and he is a go-getter and he is scandalous, I like anyone who is scandalous that’s why I was drown to his music because I was like ‘wow’, this guy has almost the same sentiments with me, he is a bad boy I am bad girl, Diamond Congratulations”.
Hayo yalikuwa maneno ya Huddah katika Interview aliyofanya na Bongo5, so bad girl meets bad boy
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, August 14, 2013
Home
Unlabelled
HATIMAYE HUDDAH MANROE AKUTANA NA DIAMOND NAIROBI. LOLLLZ!!!!!
HATIMAYE HUDDAH MANROE AKUTANA NA DIAMOND NAIROBI. LOLLLZ!!!!!
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.