Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 9, 2013

HIVI UNAJUA LINAH NAE ANAKUJA NA KIPINDI KIPYA CHA TV,NDANI YA CLOUDS TV.MSIKILIZE HAPA.

Linah Sanga anatarajia kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye kipindi chake cha TV kiitwacho 3D kupitia Clouds TV.
Linah
Akiongea na Bongo5, Linah amesema show hiyo ya watoto itaanza kuoneshwa Jumapili hii. 3D itakuwa ikizunguka mitaani kuzungumza na watoto wenye vipaji mbalimbali vinavyostahili kuendelezwa huku pia akiwasisitiza kusoma.
“Lengo langu ni kuwahamasisha wazazi kwa pande zote mbili kwamba wasiwalemaze watoto wao kwenye vipaji zaidi kuliko kwenye kusoma na kwa upande mwingine waheshimu vipaji ambavyo watoto wao wanavyo,” amesema.
Msikilize zaidi hapa.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages