Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 9, 2013

MUONEKANO MPYA WA BEYONCE BAADA YA KUKATA NYWELE ZAKE.


Mama wa Blue Ivy Beyonce Knowles amechukua maamuzi ambayo huwa ni magumu kwa wasichana wengi warembo ya kuzichinjia mbali nywele zake zilizokuwa zikimfanya awe mrembo zaidi na kubaki na nywele fupi.
beyonce haircut-1
Nywele za Queen Bey zimegeuka kuwa habari leo baada ya kupost picha katika akaunti yake ya instagram akiwa na mwonekano mpya wa nywele fupi tofauti na alivyozoeleka.
beyonce haircut-2
Mwezi uliopita Beyonce akiwa katika moja ya show zake huko Montreal alikumbwa na mkasa baada ya nywele hizo hizo zilizokatwa kunasa kwenye feni ya jukwaani (Tazama hapa) na kumfanya asimame kwa muda (huku akiendelea kuimba) akisubiri wasaidizi wake wazitoe kwa kuzikata na mkasi.
bey bey
Kabla hajazikata
Kwa muonekano huu mpya wa Beyonce (31) na nywele fupi, do you think she looks Hot or Not?? You are the judge!

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages