hatimaye kim na kanye wameamua kutoa picha ya mtoto wao katika vyombo vya habari tofauti na baadhi ya watu wengi walivyo tegemea kamba mastaa hao wangeweza kuuza picha ya mtoto wao katika baadhi ya mitandao na vyombo vya habari kama baadhi ya mastaa walivyofanya kwa watoto wao huko majuu.
kwa mara ya kwanza picha ya mtoto north west ilionekana katika kipindi cha kris ,ambae ni mama mzazi wa kim na mkwe wa kanye west, kelele nyingi za shangwe zilisikika za watazamaji waliokuwepo katika kipindi hicho baada ya kuonekana kwa picha hiyo.
hongera kwao kwani,. she is a cutie
TAZAMA HAPA INTERVIEW HIYO:
Post Top Ad
Your Ad Spot
Friday, August 23, 2013
Home
Unlabelled
PICHA : HUYU NDIYE MTOTO WA KIM NA KANYE '' NORTH WEST''
PICHA : HUYU NDIYE MTOTO WA KIM NA KANYE '' NORTH WEST''
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.