Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, August 18, 2013

PICHA: JE MAHUSIANO YA RIHANNA NA RAPPER A$AP ROCKY YAIBUKA TENA?



Hii sio mara ya kwanza wanawekwa kwenye headlines sababu ya ukaribu wao, Rihanna Na Rapper A$AP Rocky walionekana hivi karibuni wakiwa karibu sana wakati wa shooting ya video yao mpya huko New York. 

Fahamu kuwa tayari wamesha rekodi pamoja kwenye Remix ya Wimbo wa Rihanna- Cockiness Ft Asap Rocky.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages