Polisi wamemkamata mwanamke anayekula na kuhifadhi nyama za watu kwenye friji lake,angalia picha chini!!!
Hii dunia ina masimulizi mengi, sijui hili niianzie wapi kwa kweli.....
Picha ya juu ni mwanamke wa kifilipino mwenye umri wa miaka 29 ambaye
amekamatwa na polisi kwa kula na kuhifadhi VIUNGO VYA BINADAMU kwenye
friji...
Mwanamke
huyu ameua na kula zaidi ya wasichana 30 na watu wengine wengi pamoja
na mume wake na kuweka nyama zao kwenye friji amekuwa akila nyama za
watu kwa muda mrefu sana.
Mwanamke huyu mla nyama za watu,alisema alikuwa anaandaa party (sherehe) nyingi kwa ajili ya marafiki zake na ndugu ambao aliwapikia na kuwalisha nyama za watu bila wao kujua. Wageni wake walimsifia kuwa chakula chake kitamu.
Mwanamke huyo alisema amewala watu hao kutokana kwa kupenda mwenyewe na kama atapewa nafasi nyingine atarudia tendo hilo tena bila kuingiliwa.
Hata alipofika gerezani ,alimvamia askari wa kike akamng'ata mkono wa kulia na kumeza kidole kimoja cha askari huyo..!!