Hizi ni picha za red carpet za uzinduzi wa video mpya ya Diamond, Number 1 uliofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
AY na Salama J
Bi Sandra Mama yake Diamond
Chege nae alikuwepo
Diamond akiwa katika Red carpet
Dj Mafuvu
Dulla wa Planet Bongo
Dully Sykes naye alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake
Godfrey Rugambwa mdau mkubwa wa Bongo5 naye alikuwepo
Hamisa akiwa katika pozi
Hii kifamilia zaidi hapa
Mwana FA
Luca Neghesti na Nancy Sumari
Madam Rita naye alikuwepo
Madansa wa Diamond
Asha Baraka naye alikuwepo
Mzee Muhidin Gurumo akiwa na Diamond pamoja na Nay wa Mitego
Mzee Gurumo akiwa na Diamond
Nay wa Mitego
Ombeni,B12 na Nelly
Queen Darleen alikuwepo kumpa sapoti mdogo wake
Raqey akiwa na mkewe, Sarah
Romeo Jones,. binamu yake na Diamond
Salma Mzirai
Shaa katika pozi
Shadei akiwa na Dully Sykes
Shadey na Salma
Shilole katika pozi
Shilole,Diamond na Dude
Asma Dada yake Diamond na Mama Diamond Bi Sandra