Mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania, Ally Rehmtullah jana Jumapili, alifanya usaili wa models wa kike na wa kiume watakaoshiriki kwenye fashion show yake ya mwaka huu iliyopewa jina,Fashion Avenue.
Miongoni mwa majaji, Daxx na Wema Sepetu
Warembo wakichangamkia fursa
Jaji Wema Sepetu akishangaa kitu
Wema ameandika kwenye picha hii: I was definitely nat liking wat I was seeing wit dat look on my face…
Usaili huo ulifanyika kwenye hoteli ya Serena ambapo majaji walikuwa pamoja na Ally mwenyewe, Wema Sepetu Mariam Ndaba aka Missie Popular, model wa kimataifa, Daxx, model Jamillah Nyangasa, Sarah Raqey na Alfred Minja wa Mercedes-Benz.
Show what you got: Wanamitindo wa kiume wakionesha vifua vyao mbele ya majaji
Majaji: Kuanzia kulia ni Sarah Raqey, Jamillah Nyangasa na Ally
Majaji wakiwa kazini
Warembo wakiwa kwenye mstari
Daxx akihojiwa na mtangazaji
Fashion Avenue itafanyika October 30 kwenye ukumbi wa hoteli ya Serena ambapo jumla ya wanamitindo 30 watashiriki.
Picha: Instagram/Wema Sepetu, Daxx, Sarah Raqey
Post Top Ad
Your Ad Spot
Tuesday, August 20, 2013
PICHA:USAILI WA WANAMITINDO WATAKAOSHIRIKI FASHION AVENUE YA ALLY REHMTULLAH
Tags
FASHION#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
FASHION
Labels:
FASHION
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.