Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 20, 2013

VIDEO:FEZA AKIREKODI MUZIKI SOUTH AFRIKA,PIA AKUTANA NA ONEAL.

Kabla ya kurudi Tanzania, Feza Kessy alipitia kwenye miongoni mwa studio za Afrika Kusini na kurekodi wimbo.
BRkK08wCAAEfqSz
Katika video ya BBA ya maisha yake baada ya The Chase, Feza anasema shindano hilo limempa fursa ya kufanya muziki ambao amekuwa akiupenda tangu siku nyingi. Akiwa anarekodi, mchumba wake Oneal aliingia na kumfanyia surprise ya nguvu.
Bonyeza hapa kuona video hiyo.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages