Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, September 2, 2013

HUYU NDIYE HOST MPYA WA KIKE KATIKA TUSKER PROJECT FAME 6 ''JOEY MUTHENGI''

Kuna sababu nyingi za wapenzi wa muziki wa Afrika Mashariki kunaswa zaidi kwenye TV zao kila siku za weekend kuangalia msimu wa sita wa shindano la Tusker Project Fame lililoanza jana.
BN1mFfZCYAAPkzM
Joey Muthengi, host wa TPF6
Sababu kubwa ni kuongezeka kwa host mpya, mrembo kwenye show hiyo, Joey Muthengi. Mrembo huyo pia ni mtangazaji wa Channel O upande wa Kenya.
AocJG0uCQAEctf1
Kwa miaka mingi host wa kike kwenye show hiyo alikuwa Sheila Mwanyiga aka Nikki.
proxy
Sheila Mwanyigha, katikati

Je! Joey atafanya vizuri zaidi yake?
BDsPyueCQAAjI59
So far, wengi wamemkubali mrembo huyo.
Joey atashirikiana na Dr Ron Mich Egwang kama hosts wa show hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages