Kufuatia
kutoka kwa hit ambayo inapewa sapoti na video ya mapesa mengi, My
Number One ya Diamond Platnumz, Mambo yameanza kuwa mambo baada ya
msanii Dyna Nyange kuibuka na kudai kuwa mdundo wa ngoma hii ulikuwa ni
wa kwake na ulikuwa ni kwaajili ya wimbo ambao ulikuwa aufanye akiwa
amemshirikisha msanii huyo.

Bado
tunacheki mishe za kumpata Diamond kwaajili ya kulizungumzia swala hili
kwaajili ya kupata uhalisia wake katika mdundo hu ambao unapewa credit
kuwa umetengenezwa na Sheddy Clever.
Baada
ya kupata story kuhusiana na mchongo huu, tukaamua kumvutia waya
producer Sheddy Clever ambaye amesema kuwa kwa sasa hivi hayupo tayari
kulizungumzia swala hili.
Dyna
leo hii amenitumia ngoma hii anayolalamika kuwa amefanyika 'chimpupute'
na Diamond Platinums.. so in sam few minutes, nitaiweka uweze
kuisikiliza na kutoa maoni yako.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, September 4, 2013
Home
Unlabelled
KAMA ULIMISS SOMA HAPA STORI NZIMA JUU YA DAYNA KULALAMIKA KUIBIWA WIMBO WA '' MY NUMBER ONE'' NA DIAMOND.
KAMA ULIMISS SOMA HAPA STORI NZIMA JUU YA DAYNA KULALAMIKA KUIBIWA WIMBO WA '' MY NUMBER ONE'' NA DIAMOND.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment