Wivu, uaminifu au chochote unachoweza kufikiria, kimemsababisha msichana mwenye miaka 19 kutoka Brazil Adriana Andrade kuimeza simu yake ya mkononi kama njia ya kumzuia boyfriend wake asisome ‘message’ katika simu yake.
Mtandao wa Hispania Yipeta umeripoti kuwa baada ya tukio hilo msichana huyo alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kutolewa simu hiyo tumboni mwake.
Tazama video
No comments:
Post a Comment