film ya jike dume Wolper akiwa captain Wa timu nami ndio Maximo wao film ya JIKE DUME itatisha sana kwakweli na hii itakuwa baada ya kutoka film ya Who's Bad itafuata hii Ya JIKE DUME".
Huko nyuma waigizaji hao walishacheza pamoja katika filamu ya Clinic Love.
Angalia baadhi ya picha za Jike Dume hapo chini.....
No comments:
Post a Comment