Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, September 20, 2013

PICHA KUTOKA FACEBOOK NA INSTAGRAM YA AGNESS MASOGANGE IKIHASHIRIA KUWA YUKO HURU


Video queen maarufu Tanzania Agness Gerald aka Agness Masogange au Eggy ambaye alikamatwa huko South Africa kwa tuhuma ambazo ziliripotiwa kuwa ni kusafirisha mzigo wa dawa za kulevya ameachiwa huru huko South Africa. Agness alikamatwa na mdogo wake.

Taarifa mpaka sasa kutoka kwenye facebook yake na account yake ya instagram zinaonyesha kuwa ameachiwa huru kutoka polisi.

Bonyeza Read More Kusoma Zaidi
Kurasa yake ya facebook ilikuwa kimya toka mwezi wa saba na juzi 17 September 2013 Agness aliandika status mpya. Ziko Hapa


Na Kwenye Instagram Yake Aliandika Hivi.




No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages