Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akiteta na Mwanaheria
Mkuu wa Serikali, Frederick Werema, bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,
2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu
Spika wa Bunge Job Ndugai akimwamuru Kiongozi wa Upinzani Bungeni,
Freeman Mbowe kukaa chini, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi akifafanua jambo Bungeni
Mjini Dodoma Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bumbumbuli na Naibu waziri wa
Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, January Makamba, Bungeni Mjini
Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge
wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya
kuwataka wakae chini , Bungeni Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma Septemba 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Kiongozi
wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka
Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa
Bunge, Job Ndugai Septemba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Bondia Francis Cheka (katikati) na mkewe Tosha Azenga
No comments:
Post a Comment