Rais Jakaya Kikwete leo amefanya mazungumzo na Rais Paul Kagame wa Rwanda katika mkutano wa saba wa kimataifa wa nchi za maziwa makuu, unaofanyika Kampala, Uganda.
Haijafahamika mara moja walichozungumza, hizi ni picha za mkutano wao.
Marais hao wamekutana wakati ambapo uhusiano kati ya nchi hizo mbili unaendelea kuzorota.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Thursday, September 5, 2013
Home
politics
PICHA: RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME HUKO UGANDA,JANA KATIKA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU.
PICHA: RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS PAUL KAGAME HUKO UGANDA,JANA KATIKA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU.
Tags
politics#
Share This
About DARVEL LAMAR BLOG
politics
Labels:
politics
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment