Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, September 5, 2013

SAMSUNG WALETA SAA MPYA ZA MKONONI ''GALAXY GEAR - SMART WATCH'' YENYE UWEZO WAKUPIGA SIMU,KUTWEET, INSTAGRAM NA MENGINEYO.

Samsung wamezitambulisha saa hizo ambazo unaweza kupiga simu ama kutumia apps mbalimbali, kama tu ilivyo kwenye simu.
Know-Smartwatches-Samsung-Galaxy-Gear-Smartwatch
Samsung-Galaxy-Gear-Smart-Watch
samsung-galaxy-gear-smartwatch-2
Saa hizo zilikuwa zikisubiriwa kwa hamu kubwa hasa kwakuwa Samsung sasa ndio watengenezaji wa simu zinazouzwa zaidi duniani wakiwazidi Microsoft, Apple na Google kuzindua kifaa kama hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages