Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, October 2, 2013

GOOGLE YATANGAZA ZAWADI YA $25,000 KWA WAAFRIKA 5 KILA MMOJA WENYE STORI ZA KUVUTIA JINSI INTANETI ILIVYOBADILI MAISHA YAO.

Kampuni ya Google imetangaza shindano kwa wajasiriamali, wabunifu na wapenzi wa internet barani Afrika kuhusu story zinazohusiana na jinsi mtandao ulivyobadilisha maisha na kazi zao.
go
Kwenye shindano hilo, washindi watano watashinda $25,000 kila mmoja na pia watapata shavu la kufanya kazi na mdhamini wa Google kwa miezi sita. Shindano hilo liitwalo ‘Google’s new initiative, ‘Africa Connected: Success stories powered by the web’, lina lengo la kukusanya story za kutia moyo kuhusu miradi ya mtandaoni iliyoanzishwa na Waafrika.
“Google inataka kusikia kutoka kwa vijana, wajasiriamali wa mtandaoni barani Afrika ambao wanatumia mtandao na teknolojia kubadilisha dunia na kupata mafanikio,” alisema Affiong Osuchukwu wa Google Africa.
Categories for entries include Education;
Entertainment/Arts/Sports; Technology; Community and NGOs; and Small Businesses.
Submissions are open from August 27, 2013 to October 11, 2013. The competition will run until February 2014 when the winners will be announced.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages