Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, October 13, 2013

PENNY AAMUA KUMLIPIZIA WEMA KWA KUPOST PICHA AKIWA NA MPENZI WA ZAMANI WA WEMA

Penny wa Diamond aamua Kumpiku na Kumkomoa Wema Sepetu kwa Kutoka na Mshkaji Aliyekuwa Mpenzi wa Wema

  Raheeem akiwa kwenye pozi na Mwanadada Penny

 Ama Kweli Mapenzi Kizunguzungu na Ukuyafuatilia Unaweza Ukazimia.Mapenzi ni kama Mchezo wa Karata Ukukosea Kwa Mastaa anakupiku Mwenzako.Hii ni Baada ya Mwanadada Peeny Kuoneakana na Mshakaji ambaye Tulianza Kumuongelea Humu 


Humu "Raheem Da Prince" Mshkaji na Brothermen aliyemaliza Chuo Kikuu Pale University Of Dar-Es-Salam.Check Picha Yao kwa Pamoja When You Me I Do You 
                         
 
Raheem Akiwa na Wema Sepetu Enzi Hizo Baada Tuu ya Kuachwa na Diamond

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages