Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, October 17, 2013

P.SQUARE WAKANUSHA WIMBO KUTOA WIMBO MPYA WA ''SOMETHING ABOUT YOU'' ALIYEUIMBA AJULIKANI SAUTI NI KAMA ZAO

Baada ya siku chache tangu wimbo mpya unaonekana kuwa wa kundi la P-Square kusambaa mtandaoni na mashabiki kuupenda, wasanii hao wamekanusha kuwa sio wimbo wao.
Wimbo huo ambao ni kweli una sauti kama zao, unaitwa Something About You. Pacha wa kundi hilo ambalo litakuja kutumbuiza nchini mwezi ujao, Peter Okoye amekuwa akiwaeleza mashabiki wengi wanaomuuliza kuhusu wimbo huo kuwa sio wao.
Swali ambalo wengi wanajiuliza ni nani aliyerekodi wimbo huo ulionza kupendwa?

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages