Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, February 4, 2014

KAMA HUMJUI HUYU NDIYE MZEE MWENYE HATIMILIKI YA YANGA... ADAI YEYE NDIYE MMLIKI HALALI WA YANGA.







Mmiliki halali wa Yanga aibuka na kuidai klabu yake kutoka kwa viongozi wa sasa! Asema yeye na Tabu Mangala ndio walioisajili klabu serikalini mwaka 1967. Aongeza tokea Tabu Mangala ajitenge
na kuanzisha Pan Afrika 1975, yeye akabaki na hati zote za klabu na amekuwa akizilipia. Nini maoni yako?

Source: East Africa Television

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages