Kijana wa Brazil mwenye nywele za blonde na macho ya blue, ameamua kufanya upasuaji ili awe na sura kama ya Mkorea.
Xiahn, 25, ni mpenzi wa tamthilia za Kikorea zilizomfanya avutiwa na muonekano wao. Xiahn amefanyiwa upasuaji mara 10 kupata muonekano anaoutaka.
Muonekano wa zamani
Muonekano wa sasa
No comments:
Post a Comment