Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, July 9, 2014

NEW AUDIO TRACK + LYRICS: IZZO BIZNESS - WALALA HOI. DOWNLOAD HERE

WALALA HOI lyrics 
Intro: Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi 
Chorus: 
Walala hoi sisi ndio Walala hoi (Walala hoi) x 4 moja haikai mbili haikai mbaya wako ni jirani babu (Walala hoi) x 4 
Verse 1: Tunaunga unga maisha yetu ni safari bado tunataabika (Walala hoi) / tunakomaa maisha ni safari imani ipo bado sisi mbali tutafika (Walala hoi) / tumazaliwa kwenye njaa njaa imetulea sisi home mali hatujakuta (Walala hoi) / mama Yanga baba Simba upinzani babu ndani yani kila dakika (Walala hoi) / kupinda ni sheria usishangae huku kwetu mbona imeshazoeleka (Walala hoi) / hatujasoma dili chafu leta pesa babu hata iwe dili ya kuteka (Walala hoi) / tunaonekana hatuna maana tunatengwa kona zote twa dharaulika / majina yote sisi Vidampa wapumbavu wezi majambazi yote wametupachika / Rhumba kali wewe utadata/ soma pata ondoa shaka/ faster umenipata chafu tatu maisha karata/ maisha bondi kukosa na kupata / jela nyummbani hakuna kuogopa sheli tunamoka/ sisi machizi kama kaboka/ uchungu wa meno na kucha kamuulize Ulimboka / 
Chorus:Repeat Verse 2: 
Roba za mbao mtaani ni nani kaleta? (Walala hoi) / kulogana logana tu bila sababu mtaani? (Walala hoi) / majungu fitina unafiki umbea na chuki? (Walala hoi) / kazi ngumu tunapigika lakini ujira ni mdogo babu (Walala hoi)/ toa kazi tumalize hatulazi kitu hapa sisi mwendo ni wa CHAP-CHAP/ kwenye Bar hatukai zetu vilabuni yes sisi mwendo ni MATAPU-TAPU / bila sababu tunakudiss tukijua umetuzidi sisi wala hatukukwepeshi / chuki roho mbaya jadi yetu Mungu hapendi lakini sisi tumerithi / kila time tupo simple watu wa Mingle mawazo yetu kwenye Bingo dr.Kingo ngoma zetu ni Segere na Msondo / sisi ndio wachezeshaji tuite Redondo / Rest in Peace James mtoto wa Dandu / hii game bado kwako japo upo kando / big brother the Chase muulize Nando / kama Zay-B vile watu wapo gado / 
Chorus:Repeat Outro: 
Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi…Walala hoi x 3…hoi hoi hoi Walala … hoi hoi hoi Walala… hoi hoi hoi Walala.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages