Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, September 24, 2014

AMBER ROSE AOMBA TALAKA KWA WIZ KHALIFA

Ndoa ya Wiz Khalifa na Amber Rose imefika ukingoni.
1411580687070_Image_galleryImage_LAS_VEGAS_NV_MAY_24_Rappe
Amber ameomba talaka kwa mume wake huyo aliyedumu naye kwa mwaka mmoja. Amber ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Kanye, siku za hivi karibuni amekuwa karibu na meneja wake, Nick aliyekuwa mume wa Mariah Carey.
1411578478376_Image_galleryImage_24_AUGUST_2014_LOS_ANGELE
Rose anataka kuchukua udhibiti wa mtoto wao Sebastian, mwenye umri wa mwaka mmoja, kwa mujibu wa TMZ. Atamruhusu Wiz kumtembelea mwanae. TMZ imedai imeziona nyaraka za talaka ambazo zinaonesha kuwa wapenzi hao waliachana Jumatatu hii kwa kile kilichodaiwa tofauti zisizosuluhishika.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages