Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, December 2, 2014

PICHA: HIVI NDIVYO DIAMPOND PLATNUMZ ALIVYOPOKELEWA LEO DAR KUTOKA SOUTH AFRICA


Diamond baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar.
MWANAMUZIKI Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' ametua nchini muda huu akitokea Afrika Kusini alipokwenda kushiriki zoezi la utoaji tuzo za Channel O ambapo alijinyakulia tuzo tatu kwa mpigo. 

Tuzo alizonyakua staa huyo ni pamoja na Most Gifted New Comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. 



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages