Wema na Mpenzi wa Linah
Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana. Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu, Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.
No comments:
Post a Comment