Tamko la Baraza
Kutokana na mapungufu Baraza limeamua kuchukua hatua kwa mujibu wa Sheria na Kanuni zake kwa taasisi na vyuo vyote vilivyoorodheshwa katika Jedwali Na. 2 na Jedwali Na. 4 kwa makosa yafuatayo:
a) Ama kumalizika kwa muda wa Usajili wa Awali (Preparatory Registration) na Usajili wa Muda (Provisional Registration); au
b) Kutoanza mchakato wa kupata Ithibati baada ya kupata Usajili Kamili; au
c) Kumalizika kwa muda wa Ithibati na kutochukua hatua ya kuomba upya Ithibati (re-affirmation); na
d) Taasisi na Vyuo kuamua vyenyewe kusitisha kutoa mafunzo kwa sababu mbalimbali.
Jedwali Na. 1: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Usajili baada ya kutimiza masharti
Na | Jina la Chuo/Taasisi |
Namba ya Usajili
|
1
|
Regional Aviation College – Dar es Salaam | REG/EOS/028P |
2
|
Zoom Polytechnic College – Dar es Salaam | REG/EOS/030P |
3
|
Gataraye Research and Training Centre – Dar es Salaam | REG/EOS/034P |
4
|
Modern Commercial Institute (MCI) – Dar es Salaam | REG/BMG/024P |
5
|
Evin School of Management – Dar es Salaam | REG/BMG/026P |
6
|
Agape School of Management – Dar es Salaam | REG/BMG/027P |
Jedwali Na. 2: Taasisi na Vyuo vilivyofutiwa Usajili na kuzuiliwa kudahili wanafunzi wapya baada ya kutotimiza masharti ya Usajili
Na.
|
Jina la Chuo/Taasisi |
Namba ya Usajili/Maelezo
|
1
|
Dar es Salaam College of Clinical Medicine – Kinondoni | Usajili wa Awali |
2
|
Ndatele School of Medical Laboratory Sciences – Dar-es-Salaam | Usajili wa Awali |
3
|
Institute for Information Technology – Dar es Salaam | REG/EOS/014 |
4
|
DARMIKI College of Educational Studies | Hakijasajiliwa. Kimezuiliwa kudahili wanafunzi |
Jedwali Na. 3: Taasisi na Vyuo vinavyoruhusiwa kuendelea na taratibu za Ithibati baada ya kutimiza masharti
Na.
|
Jina la Taasisi/Chuo
|
Namba ya
Usajili
|
Hadhi Kabla ya
Notisi
|
Hadhi Baada ya
Notisi
|
1 | Mabughai Community Development Technical Training Institute – Lushoto | REG/EOS/040 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
2 | Kizimbani Agricultural Training Institute - Zanzibar | REG/ANE/027 | Usajili Kamili | Ithibati ya Awali |
3 | Civil Aviation Training Centre – Dar es Salaam | REG/EOS/006 | Ithibati ya Muda | Ithibati ya Muda |
4 | Ardhi Institute – Tabora | REG/EOS/010 | Ithibati ya Muda | Ithibati Kamili |
5 | Bandari College – Dar es Salaam | REG/EOS/018 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
6 | Tanzania Institute of Rail Technology – Tabora | REG/EOS/012 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
7 | RETCO Business College (RBC) – Iringa | REG/BMG/025 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
8 | Aseki Business School – Dodoma | REG/BMG/030 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
9 | Western Tanganyika College – Kigoma | REG/BMG/032 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
10 | Law School of Tanzania | REG/BMG/040 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
11 | Royal College of Tanzania (RCT) – Dar es Salaam | REG/PWF/004 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
12 | Tanzania Regional Immigration Training Academy (TRITA) – Moshi | REG/PWF/030 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
13 | Morogoro School of Journalism (MSJ) – Morogoro | REG/PWF/005 | Ithibati ya Muda | Ithibati ya Muda |
14 | Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBa) – Bagamoyo (former Bagamoyo College of Arts – Bagamoyo) | REG/PWF/010 | Ithibati Kamili | Ithibati Kamili |
15 | Newman Institute of Social Work (NISW) – Kigoma | REG/PWF/016 | Ithibati Kamili | Ithibati Kamili |
16 | Njuweni Institute of Hotel, Catering & Tourism Management - Kibaha | REG/ANE/016 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
17 | Geita School of Nursing – Geita | REG/HAS/079 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
18 | St. Gaspar Nursing School – Itigi | REG/HAS/090 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
19 | Bugando School of Nursing – Mwanza | REG/HAS/052 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
20 | COTC Mafinga – Iringa | REG/HAS/047 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
21 | Kagemu School of Environmental Health Sciences – Bukoba | REG/HAS/034 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
22 | Mvumi Institute of Health Sciences – Dodoma | REG/HAS/011 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
23 | Tanzania Training Centre for International Health – Ifakara | REG/HAS/003 | Ithibati ya Muda | Ithibati ya Muda |
24 | Mbeya Polytechnic College (former Ilemi Polytechnic College) – Mbeya | REG/BMG/031 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
25 | Institute of Sports Development Malya - Mwanza | REG/PWF/019 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
26 | Ruaha Community Development Training Institute (CDTI) - Iringa | REG/PWF/028 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
27 | Uyole Community Development Training Institute (CDTI) - Mbeya | REG/PWF/027 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
28 | Institute of Rural Development Planning (IRDP) - Mwanza | REG/PWF/043 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
29 | Rungemba Community Development Institute (CDTI) - Mufindi | REG/PWF/007 | Ithibati Kamili | Ithibati Kamili |
30 | Time School of Journalism (TSJ) – Dar es Salaam | REG/PWF/013 | Ithibati Kamili | Ithibati Kamili |
31 | COTC Machame – Hai | REG/HAS/087 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
32 | Mwambani School of Nursing – Chunya | REG/HAS/089 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
33 | Kiomboi School of Nursing – Iramba | REG/HAS/091 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
34 | College of Health Sciences Zanzibar | REG/HAS/095 | Usajili Kamili | Usajili Kamili |
35 | Kabanga School of Nursing – Kasulu | REG/HAS/023 | Usajili Kamili | Ithibati ya Awali |
36 | Kondoa School of Nursing – Dodoma | REG/HAS/040 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
37 | Lugarawa School of Nursing – Ludewa | REG/HAS/036 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
38 | Tosamaganga School of Nursing – Iringa | REG/HAS/020 | Ithibati ya Awali | Ithibati ya Awali |
39 | Vector Control training Centre – Muheza | REG/HAS/031 | Ithibati ya Muda | Ithibati ya Muda |
40 | Training Centre for Health Records Technology – Moshi | REG/HAS/072 | Ithibati ya Muda | Ithibati ya Muda |
41 | Dar es Salaam School of Journalism (DSJ) – Dar es Salaam |
REG/PWF/012
|
Ithibati Kamili | Ithibati Kamili |
42 | Financial Training Centre – Dar es Salaam |
REG/BMG/004
|
Ithibati ya Awali
|
Ithibati ya Awali |
Jedwali Na. 4: Taasisi na Vyuo vilivyoshushwa hadhi baada ya kutotimiza masharti ya Ithibati
Na.
|
Jina la Taasisi/Chuo
|
Namba ya
Usajili
|
Hadhi Kabla ya
Notisi
|
Hadhi Baada ya
Notisi
|
1
|
Sura Technologies – Dar es Salaam |
REG/EOS/019
|
Usajili Kamili
|
Usajili wa Muda |
2
|
Institute of Management and Information Technology – Dar es Salaam |
REG/EOS/016
|
Ithibati ya Awali
|
Usajili wa Muda |
3
|
Techno Brain - Dar es Salaam |
REG/EOS/021
|
Ithibati ya Awali
|
Usajili wa Muda |
4
|
Ministry of Agriculture Training Institute Igurusi - Mbeya |
REG/ANE/009
|
Ithibati ya Awali
|
Usajili wa Muda |
5
|
Mbozi School of Nursing – Mbeya | REG/HAS/062 | Usajili Kamili | Usajili wa Muda |
6
|
KCMC AMO Ophthalmology School – Moshi | REG/HAS/085 | Usajili Kamili | Usajili wa Muda |
7
|
KCMC AMO Anaesthesia School – Moshi | REG/HAS/094 | Usajili Kamili | Usajili wa Muda |
8
|
Advanced Pediatrics Nursing KCMC - Moshi |
REG/HAS/076
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
9
|
AMO Training Centre Tanga – Tanga |
REG/HAS/049
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
10
|
CATC – Songea |
REG/HAS/054
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
11
|
CATC – Sumbawanga |
REG/HAS/055
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
12
|
COTC Maswa – Shinyanga |
REG/HAS/014
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
13
|
COTC – Musoma |
REG/HAS/033
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
14
|
Dental Therapists Training Centre – Tanga |
REG/HAS/057
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
15
|
Ngudu School of Environmental Health Sciences – Kwimba |
REG/HAS/058
|
Ithibati ya Awali | Usajili wa Muda |
16
|
KCMC AMO General School – Moshi |
REG/HAS/096
|
Ithibati ya Muda | Usajili Kamili |
Jedwali Na. 5: Taarifa kuhusu Taasisi na Vyuo vyenye maelezo maalum
Na. |
Jina la Taasisi/Chuo
|
Namba ya
Usajili
|
Hadhi Kabla ya
Notisi
|
Hadhi Baada ya
Notisi
|
Maelezo
|
1
|
Lake Teachers College – Singida |
REG/TLF/001
|
Usajili wa Muda
|
Usajili Kamili | Kimeruhusiwa kudahili wanafunzi |
2
|
Patricia Metzger Academy of Health and Beauty – Dar-es-Salaam |
REG/PWF/022P
|
Usajili wa Muda
|
Usajili wa Muda | Kimesitisha kutoa mafunzo |
3
|
Institute of Management and Entrepreneurship Development – Dar es Salaam |
REG/BMG/039
|
Usajili Kamili
|
Usajili Kamili | Kimesitisha kutoa mafunzo |
4
|
Tanga School of Nursing – Tanga |
REG/HAS/084
|
Ithibati Kamili
|
Ithibati Kamili | Haijamaliza muda wa Ithibati |
5
|
ESACS School of Journalism and Business Studies – Dar es Salaam |
REG/PWF/044
|
Usajili Kamili
|
Usajili Kamili | Kimesitisha kutoa mafunzo |
6
|
Fire and Rescue Training Centre – Dar es Salaam. | REG/EOS/032P |
Usajili wa Muda
|
Usajili wa Muda | Kimesitisha kutoa kozi za muda mrefu. Sasa kinatoa kozi za muda mfupi ambazo hazipitishwi na Baraza (NACTE). |
No comments:
Post a Comment