Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Saturday, October 27, 2012

UNAJUA NI KWANINI MAIMARTHA ALITUMILIWA KATIKA KIBAO KATA CHA AUNT EZEKIEL??!!,SOMAHAPA



MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ben & Mai kinachorushwa hewani na TBC1,  Maimartha Jesse hivi karibuni alipata aibu ya mwaka baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Budha Blue, Mikocheni, Dar  kwenye sherehe ya ‘kibaokata’ cha nyota wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.
 
Maimartha Jesse
 
Aunt Ezekiel.
Habari zinadai kwamba Mai alikutwa na ishu hiyo kwa sababu hakuwa ametoa mchango uliokuwa umepangwa kwa ajili ya kuingia kwenye sherehe hiyo.
Mai akiwa amevalia sare ya sherehe hiyo, alikataliwa getini na mlinzi ambaye alimtaka aoneshe kadi au ujumbe wa simu ‘SMS’ aliotumiwa kwenye simu yake wa kumwalika ambapo vyote hakuwa navyo hivyo kutimuliwa.
 
...Akicheza kibao kata

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages