Wananchi
wakiwa wamefurika katika Hospitali ya Temeke, Dar es Salaam leo, wakiwa
na hamu ya kutaka kuwaona mwanaume na mke wa mtu waliodaiwa kunasana
wakifanya mapenzi katika moja ya nyumba za kulala wageni wilayani
Temeke.
FFU wakipiga mabomu ya machozi kuwatawanya watu waliofurika Hospitali ya Hospitali ya Temeke
Baadhi ya watu waliofurika upande wa Hospitali wakitaka kuwaona wapenzi walionasana
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk. Aman Malima akishangaa kuona umati huo
Wananchi wakishinikiza waoneshwe wapenzi hao
No comments:
Post a Comment