Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, December 18, 2012

HUYU NDIYE JAMAA ALIYEKAMATWA ANAYE HUSIKA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI


Jina kamili anaitwa Rama Jangiri ambaye anahusika na uwizi wa vifaa vya magaria hapa jijini Dar es Salaam kama Side mirror,power window na vitu vingine tu,sasa mtuhumiwa huyu alikamatwa katika hotel ya Farway kwa kutumia mtandano wa compyuta na hatimaye wanausalama wamefanikiwa kumkamata na hii ni moja kati ya video ambayo wananchi wamemkamata huku wana hasira naye.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages