Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, March 3, 2013

PICHA YA MWANAMITINDO FLAVIANA MATATA KWENYE TWITTER PROFILE YA DIESEL U.S.A

.

.
.
.
Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Tanzania Flaviana Matata ameshiriki katika kampeni za matangazo makubwa ya makampuni ya nguo ya DIESEL na EDUN ambapo kampeni inaitwa DIESEL + EDUN ilianzishwa January 2012 na muanzilishi wa kampuni ya DIESEL Renzo Rosso na waanzalishi wa kampuni ya EDUN Ali Hewson na Bono.
Walisafiri nchi za Uganda na Mali na kukutana na wakulima wa pamba Afrika, waliingia makubaliano ya kutengeneza nguo maalum zitakazotokana na pamba ya wakulima hawa wa Afrika na hivyo kuwanufaisha moja kwa moja hawa Waafrika.
Nguo hizo zitaanza kupatikana mwanzoni mwa march katika maduka mbalimbali nchini Marekani na sehemu nyingine duniani na hata kupitia mitandao pia zitauzwa huku Flaviana Matata aliyewahi kuwa Miss Universe Tanzania anabaki kuwa mwanamitindo pekee kutoka Africa alieshiriki kwenye hiyo kampeni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages