Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, March 3, 2013

RIHANNA NA CHRISBROWN WAFIKIRIA KUANDAA FAMILIA

rihanna-elle-2_0
 Wiki kadhaa zikiwa zimepita tangu kurudiana kwa Rihanna na Chrisbrown,.sasa huenda wakaupelekea uhusiano wao zaidi hususani kipindi hiki kwa kuwa na familia na watoto.

Rihanna ameliambia jarida la ELLE UK kuhusu mwanzo mpya wa mahusiano yake na chris,kuhusu mipango ya kuwa na watoto anasema,
bila shaka ntakuwa na mtoto nasali niweze kwenda mapumziko kwa mwezi mmoja vizuri. na nimejiwekea mambo fulani hivyo sina haja ya kufanya tour katika maisha yangu yote yaliyobaki hata kama napenda kufanya tour.nataka afya na furaha katika miaka mitano,nataka kuwa mwenye afya na furaha.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages