Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Thursday, July 18, 2013

KAMA ULIMISS PICHA NA UJUMBE WA DIAMOND KWA HATERS WAKE NDO HUU APA.


Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka, ndio maana leo hii kupitia mtandao wa Instagram, ameamua kutupia picha inayomuonyesha anaanguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami. Picha hiyo iliyokuwa na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri" na kuwa cc ma-haters 




Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages