Hatimaye ulimwengu umemshuhudia kwa mara ya kwanza mtoto wa kifalme aliyezaliwa Jumatatu (July 22) saa 4:34pm wakati couple ya Prince William na Kate Middletone wa Uingereza walipokuwa wanaondoka katika hospitali ya St. Mary’s Hospital ya London juzi jioni.
Couple hiyo ikiwa yenye sura zenye furaha ilipunga mikono kwa umati mkubwa waliokuwa wakisubiri kwa hamu nje ya hospitali ya St. Mary’s Hospital ya London kumuona mfalme wao wa baadae (kichanga), pamoja na lens za camera za waandishi wa habari zilizokuwa na kiu ya kupata picha muhimu za mtoto huyo na wazazi wake mara baada ya mtoto huyo (no name) kuja duniani Jumatatu.
Couple hiyo ilipoulizwa kuhusiana na jina la mtoto, Williama alidai kuwa bado wanalifanyia kazi swala hilo na wataufamisha ulimwengu muda si mrefu jina watakalochagua “He’s a big boy, quite heavy. We’re still working on a name,” Alisema William
Akimzungumzia mwanae katika hali ya utani William alisema kuwa baby boy wao ana pair nzuri ya mapafu “has a good pair of lungs”, na akawaambia waandishi kuwa mwanao amefanana zaidi na mama yake Kate na pia ana nywele nyingi zaidi ya baba yake.
Baada ya mahojiano mafupi na picha kadhaa nje ya hospitali hiyo, wazazi hao waliondoka hospitalini hapo kuelekea nyumbani kwao Kensington Palace huku William akiendesha gari iliyombeba mwanao na mkewe Kate huku wakisindikizwa na gari nyingine na pikipiki za usalama.
Tazama Picha za cople hiyo wakati wanatoka hospitalini hapo na baby boy wao
SOURCE: DAILY MAIL
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, July 24, 2013
Home
Unlabelled
PICHA NA VIDEO: WILLIAM NA KATE WAMUONESHA MTOTO WAO WA KIFALME KWA MARA YA KWANZA
PICHA NA VIDEO: WILLIAM NA KATE WAMUONESHA MTOTO WAO WA KIFALME KWA MARA YA KWANZA
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.