Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, July 15, 2013

WANAJESHI WA TANZANIA WALIOFARIKI NCHINI SUDAN WAZIKWA,NA HAYA NDIYO MAJINA YAO.

Askari hao waliokufa ambao walikuwa kwenye vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa huko nchini Sudan ni :-
(1.) Sajenti Shaibu Othuman,
 (2.) Koplo Oswald Chaula,
(3.) Koplo Mohamed Juma,
 (4.) Koplo Mohamed Chikilizo,
 (5.) Pte. Rodney Ndunguru,
(6.) Pte. Peter Werema,
(7.)Pte. Fortunatus msofe

 Askari wa Jwtz wakiwa wamebeba moja ya jeneza la mwili waaskari wa 3 wa jeshi hilo waliofariki kwa ajali ya maji  wakivuka mto Lamada, Sudani walikokwenda kulinda amani chini ya jeshi la umoja wa Mataifa muda mfupi kabla ya kuiaga mili hiyo Lugalo jijini Dar es Salaam
 Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
 Katibu mkuu wizara ya ulinzi  akitoa  heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Mkuuwa Majeshi nchini Devis Mwamunyange   akifariji mke wa moja wa askari walifariki Bi, Fatuma Chunguile
 Askari wa JWT wakiingiza miili ya marehemu katika Gari tayari kwa safari ya kuelekea mikoani kwa ajili ya Mazishi
Mkuu wa Majeshi nchini Devis Mwamunyange akiongea na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoa heshima za mwisho kwa miili ya marehemu
Chanzo na hakingowi.com

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages