Wiki iliyopita Man U waliikataa ofa ya Chelsea ya paundi milioni 22 ili wamuongezee Rooney kwenye kikosi chake msimu ujao Hata hivyo The Blues wameliambia The Mirror kuwa wana uhakika Wayne Rooney atavaa tena jezi yao kwa dau la paundi milioni 30 ambayo wana uhakika hawawezi kuikataa.
Na sasa The Telegraph wanaripoti kuwa wanajiandaa kujikakamua tena kutangaza dau la paundi milioni 40.