Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, August 20, 2013

FEZA KESSY APATA MAPOKEZI YA KUFA MTU NCHINI BOTSWANA.

Ni ukweli usiopingika kuwa Feza Kessy amekubalika ukweni kwao nchini Botswana. Staa huyo wa BBA The Chase ameamua kumfuata mpenzi wake Oneal nchini kwake ambapo wote kwa pamoja wataondoka kwenda kwenye fainali za shindano hilo nchini Afrika Kusini.
Mamia ya watu walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sir Seretse Khama, IATA uliopo kilomita 15 nje ya mji mkuu, Gaborone kumpokea Feza aliyekuwa akiwasili kutoka Dar es Salaam.
Oneal alitweet:
CC
CCCC
CCCCC
CCCCCCCC

Picha: Swahiliworldplanet

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages