Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 14, 2013

HII NDIO SWAHILI RADIO ITAKAYOANZA KUSIKIKA HIVI KARIBUNI KUTOKA WASHINGTON DC MAREKANI.

Swahili Radio, ni radio iliyoanzishwa jijini Washington DC, Marekani na kampuni ya, MMK Media Group.
Alex4
Alex Kussuwi akiwa studio kuangalia hatua radio ilipofikia
Alex&Dmk
Alex na Dickson Mkama
Radio hiyo pamoja na TV zote za online bado zipo kwenye majaribio na zitaenda hewani muda wa majaribio utakapomalizika.
MMK Media Group inamilikiwa na Alex Kassuwi, Augustino Malinda na Dickson Mkama DMK.
Alex2
Alex3
dmk
dmk4
dmk5

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages