Mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa 2013 aka The Chase, Feza Kessy leo (Augusy 14) amepata mapokezi ya aina yake kutoka kwa ndugu, jamaa, marafiki na mashabiki wa shindano hilo alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Feza Kessy akimwangalia mwanae Jayden kwa furaha
Feza Kessy aliwasili mida ya saa 1 za jioni akitokea nchini Afrika Kusini na kupokelewa na mama yake, mwanae Jayden, dada yake Saida Kessy (Miss Tanzania 1997), kaka yake na jamaa wengine wa walio karibu yake.
Feza akimkumbatia kaka yake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Feza akimpiga jicho rafiki yake Vanessa Mdee kabla ya kukumbatiana kwa furaha
Feza akionyesha upendo kwa mashabiki waliompokea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Feza akiwa amembeba mwanae Jayden na kulia ni dada yake, Saida Kessy
Feza akiwa anaelekea sehemu alikoandaliwa usafiri
Feza akiwa mwingi wa furaha baada ya kumuona mwanae Jayden
Feza akiwa ndani ya gari tayari kwa safari kuanza
Feza akiwa amemkumbatia mwanae Jayden
Feza akiwa na mwanae pamoja na mama, full furaha
Feza na Vanessa wakiwa wamekumbatiana kwa furaha
Kutoka kushoto ni dada wa Feza,Saida Kessy ,kaka yake Feza,mama yake, bibi yake Feza na watoto kwa mbele
Mama Feza akiwa na Vanessa stori mbili, tatu kumsubiri mgeni
Mbele ni mtoto wa Feza,Jayden akiwa na Sean binamu yake
Mtoto wa Feza mbele, Jayden akiwa na binamu yake Sean Lyimo
Ndugu na marafiki wakiwa wanamsubiria Feza
Shabiki wa Feza ambaye alichukua nafasi ya kwenda kumpokea Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Tayari Feza ndani ya gari kwa kuanza safari ya kuelekea nyumbani
Team MultiChoice Tanzania wakimsubiri kumlaki Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania
Team MultiChoice Tanzania wakitokeleza mbele ya kamera ya bongo5
Usafiri alioandaliwa kwajili ya Feza Kessy mshiriki wa BBA kutoka Tanzania
Vanessa akimsalimia mama wa Feza katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
Vanessa kwa mbali mwenye shauku kumuona Feza akiwasili
Vanessa mwenye furaha tele kumsubira rafiki yake
Wanadada warembo kutoka MultiChoice Tanzania wakimsubiri Feza
Mashabiki wa Feza wakimsubiri uwanjani hapo
Post Top Ad
Your Ad Spot
Wednesday, August 14, 2013
Home
Unlabelled
MAPOKEZI YA FEZA KESSY AKIWASILI NCHINI KATIKA UWANJA WA JNIA.
MAPOKEZI YA FEZA KESSY AKIWASILI NCHINI KATIKA UWANJA WA JNIA.
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.