Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 16, 2013

KATIKA HALI YA KIFICHO HIVI NDINYO MTOTO WA KIM NA KANYE ''NORTH WEST'' ALIVYOONEKANA KWA MARA YA KWANZA.

Kanye West, Kim Kardashian pamoja na Baby North West kwa mara ya kwanza wameonekana hadharani pamoja kama Familia, huku wawili hawa wakiendelea kumuweka mtoto wao mchanga mbali kabisa na Camera za Mapaparazi.

Mastaa hawa pamoja na mwanamama ambaye anaaminika ndiye mtunzaji na mwangalizi wa karibu wa mtoto huyu walionekana pamoja ambapo mtoto alifichwa katika pack ambayo ni seat maalum ya watoto wachanga kwenye gari, na hii ilikuwa ni katika mtoko wa kuelekea katika kituo cha afya kuangalia mahitaji  ya hapa na pale.



Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages