nawashukuru wadau wote walionisapoti na wanaoendelea kunisupport tangu nilipofungua DARVEL TV hadi hivi sasa kwani mafanikio na malengo TV hii yanaanza kujionesha hususani tangu pale nilipoanza kufungua TV hii.hadi hivi sasa darvel tv ina viewes 10180 ningali ni miezi michache tu imepita tangu kuanzishwa kwake na bado watu wanaendelea kuitazama tv hii.
hadi sasa DARVEL TV ina jumla ya videos 31,.iliyosheheni vipindi vya mahojiano(interview),TV teaser za vipindi mbalimbali,video za wasanii mbalimbali wa muziki hapa nchini, nk...
unaweza kutembelea website ya DARVEL TV ambayo ni: http://www.youtube.com/user/DARVELTV
au blog yetu ya darvel-kardashian.blogspot.com