Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 16, 2013

LADY JAY DEE NA MACHOZI BAND KUMMSINDIKIZA LULU KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA ''FOOLISH AGE''



Mwigizaji bora wa Kike Mwenye tuzo ya ZIFF Lulu Diana Elizabeth anakaribia kuzindua filamu yake mpya Inayoitwa 'Foolish Age' Tarehe 30/ August / 2013 Pale Mlimani City Hall Kuanzia Saa Moja Jioni. Kiingilio ni 30000. Burudani kutoka kwa Lady Jay Dee Na Machozi Band. Karibu.

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages