Breaking

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, August 16, 2013

PICHA: UTENGENEZAJI WA VIDEO ''BILA KUKUNJA GOTI'' AY, MWANA FA NA J MARTIN.


Wasanii AY, Mwana FA pamoja na J Martins wameshoot video ya ngoma yao ambayo inafanya poa sana kwa sasa huko Afrika Kusini, dalili nzuri kuwa soon... flavor ya ngoma hii itaanza kufurahiwa na wapenzi wa muziki kupitia TV pia.

Kutoka katika picha za behind the scenes za tukio hili, Vifaa pamoja na team ya production ya kazi hii vinaashiria kuwa Video ya Bila Kukunja Goti ni kazi nyingine kubwa na iliyo katika kiwango cha kimataifa ambayo wasanii hawa, watadondosha kwa mashabiki soon.
Picha courtessy of http://www.binamu13.com

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages